Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi ameanzisha rasmi safari ya kupanda mlima kilimanjaro kwa mwaka huu inayoratibiwa kila mwaka na kampuni ya Geita Gold Mining LTD. Kampeni hiyo ya mapambano dhidi ya Ukimwi na maambukizi ya Ukimwi aliyoanza nayo Mzee Mwinyi tangu mwaka 2002 na inafahamika kama Kilimanjaro Climb against HIV/AIDS 2012
Home
Unlabelled
MZEE RUKSA AZINDUA SAFARI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hajapata kuonja pombe huyu ndio maana. Chakula mafuta hali, wake wawili wanamtosheleza. Zaidi ya hapo Mungu hakunyimi afya njema.
ReplyDelete