Waziri wa Nchi Afisi ya Rais anaeshughulikia Fedha, Uchumi na Mipango ya Maendeleo Zanzibar, Mh. Omar Yussuf Mzee, akionesha mkobwa wa Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha 2012/2013 alipowasili Nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais anaeshughulikia Fedha na Uchumi na Mipango ya Maendeleo Zanzibar, Mh. Omar Yussuf Mzee, akisoma bajeti ya SMZ leo katika Baraza la Wawakilishi.
Baadhi ya wasikilizaji waliofika kusikiliza bajeti ya SMZ ya mwaka 2012/2013 leo. Picha na Yussuf Simai, MAELEZO Zanzibar
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...