Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akifungua semina ya siku mbili kuhusu kuimarisha Uhusiano Baina ya Wanasiasa na Watendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar,katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,nje ya Mji wa Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad,alipowasili katika viwanja vya Zanzibar Beach Resort,alipohudhuria katika semina ya siku mbili ya Uongozi ya Viongozi wa Serikali za Mitaa Zanzibar,akiwa ni Mwenyekiti wa Semina hiyo iliyoanza Leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...