Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Francis Sales Katabazi Mutungi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika Hafla fupi iliyofanyika leo asubuhi Ikulu, Dar es salaam. Karibu na kamera ni Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe.Latifa Mansoor kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika Hafla fupi iliyofanyika leo asubuhi Ikulu, Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe.Joaquine Antoinette De-Mello kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika Hafla fupi iliyofanyika leo asubuhi Ikulu, Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. John Samwel Mgetta kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika Hafla fupi iliyofanyika leo asubuhi Ikulu, Dar es salaam. Karibu na kamera ni Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Patricia Saleh Fikirini kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika Hafla fupi iliyofanyika leo Ikulu, Dar es salaam. Karibu na kamera ni Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Sam Mpaya Rumanyika kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika Hafla fupi iliyofanyika leo asubuhi Ikulu, Dar es salaam. Karibu na kamera ni Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe.Salvatory Benmedict Bongole kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika Hafla fupi iliyofanyika leo asubuhi Ikulu, Dar es salaam. Karibu na kamera ni Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Dkt Gerald Alex Mbonimpiga Ndika kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika Hafla fupi iliyofanyika leo asubuhi Ikulu, Dar es salaam. Karibu na kamera ni Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Mathew Pauwa Mhina Mwaimu kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika Hafla fupi iliyofanyika leo asubuhi Ikulu, Dar es salaam. Karibu na kamera ni Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Jacob C.M. Mwambegele kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika Hafla fupi iliyofanyika leo asubuhi Ikulu, Dar es salaam. Karibu na kamera ni Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman. Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA
Many congratulations to Hon. De Mello and Hon. Mansoor. You are women of honour and much deserving of this great privilege of serving in the Judiciary of this great nation.
ReplyDeleteJust a piece of advice to my fellow Tanzanians. We have seen new judges to the High Court being sworn in by the President J. Kikwete, most of them with names that sound like people of one particular faith.
ReplyDeleteShould it had been the opposite, we would have heard and read lots of comments arguing nonsense. We need to start seeing people by their qualities and technical expertise, not by their faith or what their names sound like.
Mdau,
Mkoani, Pemba.
I agree with u Mdau....udini is only one sided...Na hii imetokana na ukoloni wa kurithi. Sababu baadhi ya watu kutoka dini moja walijiona wako juu kielimu kuliko wengine. Na ilikua kweli kwa kipindi fulani kutokana na mfumo wa elimu wa kikoloni. Lakini sasa there is no scientific evidence or any any intelectual argument kwamba dini itakufanya ue na mafanikio ya kielimu au la. This is more a family issue. Mfano kuna baadhi ya familia wana associate elimu na mafanikio ya kimaisha.Na kina watu wana concentrate zaidi na biashara kwa sababu wanaona mafanikio ya kimaisha.Either way wote wana malengo yao...
ReplyDeleteJambo la pili pia siku hizi, majina sio kama zamani. Watu wengine hawana dini lakini hawatangazi hadharani. Na wengine wana majina ya kiasili..
Finally, dini sio kisingizio cha manufaa ya kumaisha na wala kutofanikiwa kimaisha. History prove that.
jamani why bringing this topic again? why mnataka kujadili udini? ndicho mlichoona hapo tu? kwani mgepongeza na kuondoka ingekuwaje? tuendako si kuzuri mwee nawe michuzi vitu vya muhimu haurushi haya unarusha inabidi muwe makini kidogo. Inaanza hivi hivi huyo wa pili kamsupport kesho utasikia wako mitaani shauri yenu mie sipo
ReplyDelete