Na Prosper Minja 
KATIKA makala yangu ya “Elimu kwa vitendo shuleni iko wapi?” iliyorushwa na Blog ya Jamii terehe 23 Mei, 2012 watu wengi waliichangia mada hiyo. Nawashukuru kwa kutoa maoni na mawazo mazuri ya kutaka kuondokana na ujenzi wa taifa la walemavu wa viungo na akili. Makala ya leo bado inajikita tena katika eneo hili la mfumo wa elimu Tanzania.
Katika miaka ya hivi karibuni Tanzania inashuhudia mabadilko makubwa katika mfumo mzima wa elimu unaosukumwa na utandawazi. Tofauti na ilivyozoeleka, vyuo vya elimu vya kada ya kati vilivyokuwa vimeanzishwa kwa makusudi maalum sasa vinapoteza ule umaana wake uliokuwa umekusudiwa.  Sina hakika sana na mfumo mzima wa elimu hapa nchini kwa sasa, ila wadau wenye uelewa naomba tusaidiane katika hili. 
Kusoma makala yote BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...