Baba Mzazi wa bondia Fransic Cheka , Mzee Boniface Cheka kulia akiwa amemkunja baba mzazi wa Japhet Kaseba, Mzee Josephet Kaseba wakati wa mkutano na waandishi wa habari Dar es salaam leo kuzungumzia mpambanbo wa watoto wao utakaofanyika siku ya sabasaba katika uwanja mpya wa Taifa. Picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
Home
Unlabelled
MABABA WA CHEKA NA KASEBA WATAMBIANA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
This is funy, I love this!
ReplyDelete