Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh.Aziz Abood ambaye pia ni Mmiliki wa Abood Media,akisalimiana na Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu na Afisa Udhamini wa Vodacom Ibrahimu Kaude wa kwanza kushoto,mara walipotembelea makao makuu ya Abood Media kwa lengo la kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la ”WAJANJA”litakalofanyika kesho kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea kufanyika  katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na  lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.
 Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,akifafanua jambo kwa mtangazaji wa kipindi cha “Nani Mkali”wakati wa mahojiano rasmi kwenye Radio ya Abood iliyopo mjini Morogoro mara walipotembelea kituo hicho kwa lengo  la kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la ”WAJANJA”litakalofanyika kesho  jumapili  kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea kufanyika  katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na  lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.

Afisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude akijibu moja ya maswali aliyokuwa akiulizwa na Mtangazaji mahiri wa kipindi cha “Nani Mkali”Bi.Zainabu Swaleh,kipindi hicho  kinachorushwa na Radio ya Abood ya Mjini Morogoro, mara walipotembelea kituo hicho kwa lengo la kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la ”WAJANJA”litakalofanyika jumapili hii kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni  katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea kufanyika  katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na  lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...