Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 07, 2012

    Katika karne ya leo, hii kweli ni Demokrasia, familia moja kutawala milele?
    Ina maana hao wote wengine ni zero?
    Halafu tunaingilia nchi nyingine eti kuwafundisha demokrasia???

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 08, 2012

    I KNOW LAKIN NDO MAISHA SI UNAJUA TENA BADO TUNA UHURU WA BENDERA LAKINI KUJITAWALA HASA HASA HATUNA KABISA ASIKUDANGANYE MTU

    NA KUMBUKA NCHI ILE YA ENGLAND NI YA QUEEN AMERISHI TOKA KWA BABA YAKE, NI KAMA MTU KUWA NA NYUMBA AU GARI LAKO MWENYEWE NDO MAANA FAMILY MMOJA HUWA INATAWALA HAKUNA ATAKAYE KUJA KUCHUKUA NCHI YAKE ILA WATAWEKWA MAWAZIRI ETC LAKIN WATA SHUDUJU KWA MALKIA DAIMA KWA SABABU NI NCHI YAKE YA URITHI NA URITHI UTAENDELEA KWA KIZAZI CHAKE MPAKA KUFAAA

    HIZO NDO HIZO HABAR

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...