Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Enos Bukuku akijibu maswali ya waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa Kamati ya Viwango ya Afrika Mashariki iliyofanyika leo kwenye hoteli ya Naura Springs mjini Arusha.
Wajumbe kutoka mataifa wananchama wa EAC wakiwa kwenye mkutano wa kuoanisha sheria za mashirika ya viwango katika nchi za Afrika Mashariki kwenye mkutano uliofanyika leo kwenye hoteli ya Naura Spring mjini Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 07, 2012

    Bongo mikutano mingi...hakuna kinachoonekana. Mimi naiomba hii serikali yetu na taasisi zake..watoke humu kwenye mikutano na watekeleze hayo wanyoongelea! Ankal, habari zote ni mikutano tu, hakuna hata siku moja tumeona hayo yalioonglewa katika mikutano hii yanatekelezwa. Hili ndio tatizo kubwa nchi yetu hii, longolongo nyingi lakini hakuna utekelezaji!
    Nawasilisha!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 08, 2012

    Mikutano yooote hiyo ni POSHO POSHO POSHO! wakitoa posho za vikao utaona mikutano itapungua , training za kijinga jinga jamani kodi zetu loooh!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...