Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Enos Bukuku akijibu maswali ya waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa Kamati ya Viwango ya Afrika Mashariki iliyofanyika leo kwenye hoteli ya Naura Springs mjini Arusha.
Wajumbe kutoka mataifa wananchama wa EAC wakiwa kwenye mkutano wa kuoanisha sheria za mashirika ya viwango katika nchi za Afrika Mashariki kwenye mkutano uliofanyika leo kwenye hoteli ya Naura Spring mjini Arusha.
Bongo mikutano mingi...hakuna kinachoonekana. Mimi naiomba hii serikali yetu na taasisi zake..watoke humu kwenye mikutano na watekeleze hayo wanyoongelea! Ankal, habari zote ni mikutano tu, hakuna hata siku moja tumeona hayo yalioonglewa katika mikutano hii yanatekelezwa. Hili ndio tatizo kubwa nchi yetu hii, longolongo nyingi lakini hakuna utekelezaji!
ReplyDeleteNawasilisha!
Mikutano yooote hiyo ni POSHO POSHO POSHO! wakitoa posho za vikao utaona mikutano itapungua , training za kijinga jinga jamani kodi zetu loooh!
ReplyDelete