Mbunifu wa mavazi wa kimataifa hapa nchini,Mustafa Hassanali akimkabidhi zawadi ya gauni lenye thamani ya shilingi 500,000 Redd's Miss Dar Intercollege 2012,Hilda Edward ofisini kwake leo.anayeshuhudia ni mratibu wa shindano hilo, Dina Ismail.
Mbunifu wa mavazi wa kimataifa hapa nchini,Mustafa Hassanali akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa kitongoji cha Redd's Miss Dar Intercollege katika shindano la Redd's Miss Higher Learning 2012, Hilda Edward na mshindi wa pili Jamila Hassan pamoja na mratibu Dina Ismail ofisini kwake leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...