Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama chupa ya chai ya mti katika kilele cha sherehe za kutoa ruzuku kwa wajasiriamali waliofanya vizuri katika Programu ya fanikiwa kibiashara zilizofanyika kwenye viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo.Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwezeshaji na Uwekezaji, Dkt, Mary Nagu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia moja ya viatu vilivyoonyeshwa kwenye banda la Mareshi Shoe Maker katika kilele cha sherehe za kutoa ruzuku kwa wajasiriamali waliofanya vizuri katika Programu ya fanikiwa kibiashara zilizofanyika kwenye viwanja vya Mbazi mmoja jijini Dar es salaam Juni leo.Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwezeshaji na Uwekezaji, Dkt, Mary Nagu na kulia ni Mwenyekiti wawa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania, Mama Ester Mkwizu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Honger! Honger! Mama Mkwizu Asante kubwa kwa Waziri Mkuu Pinda pamoja na Dr Ngau kutembelea banda ya moneshi ya kufaniikwa biashara, Asante Mchuzi.
ReplyDelete