Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa Canada nchini, anayemaliza muda wake wa uwakilishi, Bw Robert J. Orr walipokutana Ikulu jijini Dar es Salaam leo Juni 7, 2012.PICHA NA IKULU
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Canada nchini,Bw Robert J. Orr aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam leo kwa lengo la kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa uwakilishi hapa nchini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 07, 2012

    MNAONAJE VAZI ALILOVAA MHE. RAIS LIWE VAZI LA KITAIFA!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 08, 2012

    wewe achana na Kikwete, huyu jamaa anapendeza kila aina ya nguo anayovaa, basi kama unatafuta vazi la Taifa kutoka kwake ,utachanganyikiwa tu-maana hata akivaa yale maccm,bado anapendeza(utasema je sasa) achana naye ,huyu kaumbwa . mimi naona tu kwamba akimaliza term yake ya uraisi, ahamie chadema na agombee tena urais. Kingine ,hajasoma nje ya nchi,lakini akiongea na kina Obama -hahitaji mkalimani. Zebedayo.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 08, 2012

    We mdau wewe "hajasoma nje lakini huo Udokata aliopata sio kwamba alipigwa msasa wa ung'eng'e! he is smart though. Ni hao mafisadi waliojiotesha ktk serikali wanamkula kichwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...