Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa kidini katika kukuza dhana ya Utalii kwa wote,mara baada ya kufungua semina ya siku moja iliyofanyika katika ukumbi wa Salama, Bwawani Hotel, Mjini Unguja, Picha na mdau Ramadhan Othman wa Ikulu, Zanzibar.
Home
Unlabelled
Semina ya Viongozi wa Kidini katika kukuza Utali Zanzibar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...