Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, imezindua vifurushi vipya vya intanet ambavyo vitawawezesha wateja wake kupata huduma ya internet kwa shilingi 250 tu kwa siku.
Sasa wateja wanaweza kuperuzi internet kwenye simu zao za mkononi, komputa na tablets kwa bei nafuu zaidi na spidi ya uhakika.
Nunua kifurushi chako sasa kwa kupiga *149*01# na changua Internet.
Wateja wa Vodacom wanaweza kununua vifurushi vy tofauti tofauti kulingana na mahitaji yao kuanzia cha siku, wiki hadi mwezi. Bei za vifurushi vya internet vinavyopatikana ni.
Unaweza ukanunua kifurushi kwa kutumia SMS , tuma jina la kifurushi kwenda 15300. **Vifurushi visivyo na kikomo pia vinapatikana
Kuweza kujua makadirio ya matumizi yako ya internet tembelea http://www.vodacom.co.tz/datacalculator/index.html
Huu ni wizi, inawezekanaje Unlimited inakuwa na namba kwenye ujazo????
ReplyDeleteMimi.
Huu ni wizi, inawezekanaje Unlimited inakuwa na namba kwenye ujazo????
ReplyDeleteMimi.