Baadhi ya wakufunzi wa Sensa kwa ngazi ya Kitaifa wakijifunza jinsi ya kutambua maeneo mbalimbali ya sensa za watu na makazi kwa kutumia ramani wakati wa mafunzo ya siku 10 tayari kwa ajili ya kwenda kufundisha hatua za mikoa ikiwa ni maandalizi ya Sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika nchini kote tarehe 26 Agosti mwaka huu. Mafunzo hayo yanaendeshwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) yalianza jana mjini Dodoma.Picha na tiganya vincent- Dodoma
Home
Unlabelled
wakufunzi wa Sensa kwa ngazi ya Kitaifa waendea kupewa somo mkoani Dodoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...