Home
Unlabelled
WANYAMA KATIKA HIFADHI YETU YA TAIFA YA MIKUMI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yaonekana aliyepost habari hii hajui tofauti kati ya Nyumbu na Fungo... Kwa kukusaidia tu Fungo kwa kingereza ni Civet, wakati Nyumbu ni Wild beast...
ReplyDeletenaona siku hizi wabongo kizungu kinapanda kila leo kwa kuwakose wenzetu mbona hatukosowani kwa lugha zetu kuwaenzi lugha zetu za kinyumbani badala ya kujitia mahodari wa kizungu
ReplyDeleteDah! we anon wa kwanza hujamsaidia mleta picha ila umezidi kupotosha. Sijaona matumizi ya kii-nglishi katika hizi picha. Tuambie kama yule si nyumbu ni nani kwa kiswahili.
ReplyDeleteAHSANTE KWA PICHA NZURI ZA WANYAMA WALIOPO MIKUMI, NAOMBA KUELIMISHWA ZAIDI, HAPO JUU KUNA PICHA IMEANDIKWA KWAMBA HAO WANYAMA NI FUNGO NIELEWAVYO MIMI HAO NI NYUMBU NA FUNGO NI AINA YA WANYAMA KAMA PANYA, JE KIPI NI SAHIHI. JAMANI NARUDIA KWAMBA NCHI YETU INA MENGI MAZURI WAKIWEMO WANYAMA WENGI WA KUVUTIA. BODI - TTB IELIMISHE WANANCHI ZAIDI KUHUSU UTALII WA NDANI KWA VIKUNDI, FAMILIA, KIOFISI N.K.
ReplyDeletesasa yupi nyumbu na fungo na wewe anonymous nyoosha maelezo ili tuelewe
ReplyDeleteSAMAHANI... NAONA UMECHELEWA KUISOMA KWA MAANA WAMESHAREKEBISHA PALE KWA NYUMBU WALIANDIKA FUNGO KWANZA. USHAURI BAADA YA KUSAHIHISHA LABDA WANGETOA NA HIYO KOMENTI "COMMENT".
ReplyDelete