DR. PHARES KINUNDA AFISA UDHIBITI UBORA WA NHIF AKIWASILISHA MADA YA MAJUKUMU YA WARATIBU WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA NA MIFUKO YA AFYA YA JAMII MAFUNZO HAYO YAMEFANYIKA LEO KWENYE UKUMBI WA MIKUTANO WA NHIF MJINI MTWARA.
WASHIRIKI WA MKUTANO WA WARATIBU WA CHF MTWARA NA LINDI WAKIFUATILIA KWA MAKINI MTOA MADA (HAYUPO PICHANI) DR. PHARES KINUNDA ,KUHUSU DHANA YA MIFUKO YA AFYA YA JAMII NA MABORESHO HUDUMA ZA MATIBABU KWA WANANCHI KUPITIA FEDHA ZA TELE KWA TELE.
PICHA YA PAMOJA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...