Baadhi ya Washiriki wa Warsha ya Wadau wa Kufanya Mapitio ya Rasimu ya Mpangokazi wa Kitaifa wa Usimamizi wa Mazingira Wakimsikiliza Mgeni Rasmi (Pichani hayupo) Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais,Eng Ngosi Mwihava alipokuwa akifunguwa warsha hiyo kwenye Hotel ya Top Life Mjini Morogoro.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng Ngosi Mwihava (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira,Stophon Mkondokaya [katikati] na Ofisa Mkuu Idara ya Mazingira Bi Esthar Makwaia mara baada ya Ufunguzi wa Warsh ya Mpangokazi wa Kitaifa wa Usimamizi wa Mazingira iliyofanyika kwenye Hotel ya Top LifeMijin Morogoro.picha na Ali Meja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...