Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya kaskazini kati,Dr Thomas Laizer akizindua rasmi gari la usharika wa kimandolu uliopo mjini Arusha mapema leo asubuhi .
Gari aina ya ford renger lenye namba za usajili T 474 BRS lenye thamani ya shilingi milioni 40 ambapo waumini wa usharika huo walitoa michango yao kwa ajili ya kununua gari hilo ili limwezeshe mchungaji wa kanisa hilo kufanya kazi yake kiufanisi.Picha na Mary Ayo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...