Meneja Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa akitoa maelezo katika bango la Jarida la NMB Financial Fitness kwa watoto waliotembelea banda la benki hiyo ya jamii kwenye maonesho ya SabaSaba jijini Dar es salaam.
Afisa wa NMB, Salum Mnuna akito elimu ya matumizi ya fedha kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Tandika jijini Dar es Salaam waliotembelea banda la benki hiyo ya Jamii kwenye maonesho ya SabaSaba
Meneja Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa akitoa Jarida la NMB Financial Fitness kwa watoto waliotembelea banda la NMB.
Meneja Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa akiwaonesha bango lenye Jarida la NMB Financial Fitness watoto waliofika katika banda la benki hiyo ya jamii
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Tandika pamoja na watu mbalimbali wakiwa katika banda la NMB
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...