Watanzania wanaotaka kutembelea Hifadhi ya Taifa Mikumi kwa safari ya kwenda na Kurudi kila siku kwa sh 15,000. Kufanya booking tembelea Banda la Maliasili na Utalii kwenye Maonyesho ya Sabasaba kila siku hadi jumapili ya July 8 Ndio mwisho wa ofaa hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2012

    Mbona tuna utitiri wa wanyama mbugani,hivi vinyago vya nini?Sisi siyo nchi masikini kwa wanyama tunamshukuru Muumba kwa hilo, tunaomba mwakani tuwekewe aina mbali mbali za wanyama na siyo vinyago; hatuna haja navyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...