Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aliyemaliza muda wake Dr. Asha-Rose Migiro anawasili leo na ndege ya Emirates na atapokelewa na viongozi wakuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa waliopo Tanzania, wakiongozwa na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Tanzania, Dkt. Alberic Kacou.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2012

    Raisi Mpya wa Tanzania.. MZ

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2012

    Yeaaah!My tanzanian women Rolemodal!
    Mwenye kujiamini,na kuwa na uhakika na kile anachokifanya.
    Ur Brave,Mwanamke anaweza bila hata kuwezeshwa!
    Sure,U will be The First Women Tanzanian President!
    I belive u can

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 09, 2012

    Tunamkaribisha na kumtakia kila la kheri katika kulitumikia tena taifa kama atakavyo pangiwa na wakubwa zake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...