Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2012

    Vijimambo inatuonyesha upande mmoja tu wa WaTZ waliofanikiwa, tuletee habari za waTZ wengine pia ambao mambo yao ni magumu huko kama vile wale ambao hawawezi hata kutoka nje ya USA kwa sababu wamekosa makaratasi, jinsi gani wanakabiliana na maisha huko na changamoto mbali mbali. Haitokuwa vizuri kutuletea habari za upande mmoja tu kila siku.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2012

    BIG UP DOC. CALM COOL AND COLLECTED.

    ReplyDelete
  3. We Anony wa kwanza, inaonekana husomi vijimambo. vijimambo inaweka watu mbalimbali.
    Inaonekana unataka ku-justify ugumu wa maisha yako, ama wa Tanzania na USA.
    Ki ukweli kote kuna mafanikio na challenges. Maisha magumu kwa aliye USA ni tofauti na aliyeko Bongo. Shida zemu hazilingani.Wa huku wana hali bora zaidi kuliko bongo mara mia. Life span (umri wa kuishi) ni tofauti pia. Bongo kuna challenge nyingi sana kuanzia mtaani kwako unapolala hadi kitaifa.
    Fahamu kutokuwa na makaratasi sio kwamba una maisha magumu. Wapo watu hawana papers na wana maisha bora sana. Kwa hiyo ukiwaona unaona wote wako safi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 09, 2012

    Mtu wa shari utamjua tu, huyo anon wa kwanza wala hana baya alilosema, katoa ushauri tu walahakulinganisha na tofauti. kasema tu vijimambo wangeonesha watu wainazote........maelezo ya ak marefu ya kuji-defend inaelekea anapiga box kisha anaona aibu, mungu anampa kil amtu alichomjaalia kwa hiyo usione aibu kama unapiga box.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 09, 2012

    Naona mdau unatetea mapema,kwani we ndo vijimambo, au hauna papers mdau.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...