Mazishi ya Franco Peter Kabigi  (pichani)  aliyefariki dunia majuzi yamepangwa kufanyika leo Alhamisi   Julai 26, 2012 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
Ratiba ya mazishi ni kama ifuatavyo:
Saa 5:00 - 6:00 Chakula nyumbani kwa marehemu Mbagala Zakheem
Saa 6:00 - 7:00 Mwili kupelekwa  Kanisani Muhumbili
Saa 7:00 - 7:30 Kuingia kanisa  la Muhimbili
Saa 7:30 - 8:00 Misa ya Marehemu
Saa 8:00 - 9:00 Last Respects (Kuaga Mwili)
Saa 9:00 - 9:00 Kutoka Muhimbili kuelekea Makaburi ya Kinondoni
Saa 10:00 - MAZISHI.


Mola aiweke Roho ya Marehemu 
mahali pema peponi
-AMINA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2012

    Poleni wafiwa: mjane, watoto, ndugu, jamaa na marafiki wa karibu wa marehemu. Nilimfahamu marehemu kwa miaka mingi alikuwa mkarimu, mcheshi na mchangamfu sana. Ulale mahali pema peponi muinjilisti Franco, hadi tutakapokutana tena kama Bwana alivyoutahidi.

    mdau calif.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...