Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2012

    Si mgewafunga pingu kuliko kuwakwida mashati? Umaskini ndo unafanya watu wakwibe. Sera za kusaidia vijana hakuna. Na kama zipo ni za kisiasa tu.ortifel 30

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 26, 2012

    Huu ni unyanyasaji tu,
    Kama ni wahalifu wapelekwe mahakamani kwani katika kamusi ya sheria hakuna neno kibaka lenye wingi wa vibaka!! Tusiwanyanyase watanzania wenzetu kwenye nchi yetu. Mkamate mtuhumiwa mweke kwenye defender au Landcruiser peleka kituo hoji chuja unaowatuhumu na ushahidi upo peleka mahakamani. Hili la kufunga bogi ni UTUMWAA!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. AnonymousJuly 26, 2012

      Wewe mwenyewe ni. Kibaka nini??? Mbona unaytetea vitu vya ajabu??? Kwhy mtu kasadikika kuiba hata asifungwe mashati kwanza?? Au hayo madefender na ma land cruiser yapo kila sehemu kiasi kwamba watu wakikamatwa wanatupwa tu kwenye gari

      Delete
  3. AnonymousJuly 26, 2012

    Wapi mafuta/gurudumu? Mnawakawiza hawa

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 26, 2012

    HAMJAWAHI KUIBIWA NYIE... ENDELEEENI KUROPOKA TU. YAKIWAKUTA NDO MTAJUA

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 26, 2012

    Tena mdau wambie hawajawai kuibiwa hao,hapo juu, bwna ahawajamaa noma, yaani utaki hata kuwasikia, nyie wadau hapo juu ngoja muibiwe ndio mtajua machungu na matamu ya hawa vibaka,Tena hawajali,na huo uvibaka, kwao ndio manguli wa uvibaka,

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 26, 2012

    Nyie mnaodai wanaonewa nadhani hata nyie ni vibaka. Hakuna cha umaskini wala nini ni tabia mbaya ya uvivu ya kutotaka kujishughulisha, hamjawahi kuibiwa mkajua inavyoumma. Mie kibaka apigwe mpaka akome maana ukimpeleka polisi baada ya nusu saa mnakutana mtaani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...