Gari la zimamoto la Manispaa ya jiji la Dar es Salaam likiwa limepata ajali mbaya katika barabara ya Morogoro,maeneo ya Magomeni Kagera jijini Dar es Salaam majira ya asubuhi baada ya dereva wa gari hilo kumshinda wakati likiwa kwenye mwendo.
Hali ndivyo livyokuwa.
Magari yakiwa katika msongamano mara baada ya kutokea kwa ajali hiyo na kusababisha kufungwa kwa barabara kwa muda.
Mtangazaji wa ITV, Bw. Sam Mahela akifanya mahijiano na Kaimu Kamishna wa Usalama wa Umma Bw. Fikiri ambaye alielezea jinsi tukio lilivyotokea mapema asubuhi ya leo.Picha zote na Kajunason Blog.


Hii Ajali haikutokea leo bali ni juzi Tarehe 18 july mida kati ya saa 2:30 hadi 3:00 Pale magomeni usalama na sio magomeni kagera. Kumradhi kwa kuwakosoa
ReplyDeleteJAMANI AJALI IMETOKEA JUZI HII, NYIE MNAIWEKE LEO NA KUSEMA KWAMBA IMETOKEA LEO!
ReplyDeleteHii ajali ilitokea juzi tarehe 18 july mida ya kati ya saa 2 na 3 asubuhi pale magomeni Usalama na sio magomeni kagera kama mlivyo andika.
Hiyo barabara ina vingingi vizito vya kushtukiza yaani hakuna warning signs kwa hivyo ni hatari hata kwa wengine
ReplyDeleteInatisha jamani hebu tuangalie kuna nini tuingie kwenye maombi hii si bure Watanzania maombi ni muhimu tutubu hata baba wa Taifa alisema tukianza mambo ya MZANZIBARI NA MZABARA ...... NAWACHIA NA NYIE MRUDI NA KUFANYA MAAMUZI TUMEANZA KUKOSEA NA TUTUKWISHA
ReplyDeleteMakanisa yasibomolewe
ReplyDelete