Gari la zimamoto la Manispaa ya jiji la Dar es Salaam likiwa limepata ajali mbaya katika barabara ya Morogoro,maeneo ya Magomeni Kagera jijini Dar es Salaam majira ya asubuhi baada ya dereva wa gari hilo kumshinda wakati likiwa kwenye mwendo.

Hali ndivyo livyokuwa.
 Magari yakiwa katika msongamano mara baada ya kutokea kwa ajali hiyo na kusababisha kufungwa kwa barabara kwa muda.
Mtangazaji wa ITV, Bw. Sam Mahela akifanya mahijiano na Kaimu Kamishna wa Usalama wa Umma Bw. Fikiri ambaye alielezea jinsi tukio lilivyotokea mapema asubuhi ya leo.Picha zote na Kajunason Blog.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2012

    Hii Ajali haikutokea leo bali ni juzi Tarehe 18 july mida kati ya saa 2:30 hadi 3:00 Pale magomeni usalama na sio magomeni kagera. Kumradhi kwa kuwakosoa

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 20, 2012

    JAMANI AJALI IMETOKEA JUZI HII, NYIE MNAIWEKE LEO NA KUSEMA KWAMBA IMETOKEA LEO!
    Hii ajali ilitokea juzi tarehe 18 july mida ya kati ya saa 2 na 3 asubuhi pale magomeni Usalama na sio magomeni kagera kama mlivyo andika.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 20, 2012

    Hiyo barabara ina vingingi vizito vya kushtukiza yaani hakuna warning signs kwa hivyo ni hatari hata kwa wengine

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 20, 2012

    Inatisha jamani hebu tuangalie kuna nini tuingie kwenye maombi hii si bure Watanzania maombi ni muhimu tutubu hata baba wa Taifa alisema tukianza mambo ya MZANZIBARI NA MZABARA ...... NAWACHIA NA NYIE MRUDI NA KUFANYA MAAMUZI TUMEANZA KUKOSEA NA TUTUKWISHA

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 20, 2012

    Makanisa yasibomolewe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...