Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 24, 2012

    Wewe bibi unapendeza kuimba na watu kama kina Oliver Mtukudzi na kadhalika. Hapo unajishushia heshima yako. Hao dakika mbili tu mara "umeme ukakatika" mara "natupia tu" mara "mikasi". Wewe na mambo hayo bibi yangu hamfanani.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 24, 2012

    tembea baba wewe kwelimkali ha hah

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 24, 2012

    Mwacheni bibi wa watu ale maisha yenyewe mafupi. Ameshasomesha watoto hana wajukuu afanyeje yumbani. Huyu ni mjasiriamali.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...