Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2012

    jamani kwa wasiojua umuhimu wa JUA nawapa pole. Jua ni muhimu sana jamani kwa binadamu nachowaomba tusilidharau.Kwa mliokuwa nje mshawahi kujiuliza kwa nini watu wengi wanaishia kukalia WHEEL CHAIR MTONI?? its because of lack of VITAMIN D! Likitoka jamani msijivunge!LOL

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 24, 2012

    Laughing, leo huku watu walivua nguo yaani walikuwa watupu kusherehekea weather, I real thank God for our lovelly Africa, jua la huku libaya hata kupumua shida,

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 24, 2012

    hakua anaota jua huyo, alibanwa na usingizi, kabeba box usiku kucha, akaona akilala ataibiwa, akabuni namna ya kulala na kulinda box! kuiba lazima umnyanyue.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...