Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimianana Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatifa Benard Membe,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,kwa madhumuni ya kutoa mkono wa pole kwa Rais kutokana na Ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya Seagull,na kusababisha wananchi kupoteza Roho zao. 
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2012

    dah jamaa anachukua picha sijui video kwa kutumia IPAD jamani hizo camera za ipad sio maalum kwa kupigia picha au video za namna kama hizo mwe!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 24, 2012

    wanafiki tu wanakuja kutoa pole walikuwa wapi

    ibaniye michuzi utamwaga unga wako ukiweka si ndo unavyo fanyaga kila siku

    ReplyDelete
  3. hizo aibu za kupiga picha kwa iPad nilijua ni huku kwetu tu uswahilini, duh kumbe hata ikulu zina fanyika............ hahahahaahaahahah

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 25, 2012

    Sasa nisipotoa iPad kupiga picha utajuaje ninayo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...