Familia ya Bw. Zebadia Mkindi Kimambo wa Arusha Kimandolu tunakukumbuka mpendwa mama yetu Bi Martha Kimabo kwa kutimiza mwaka mmoja tangu ulipo ulipoiaga dunia.
Mama unakumbukwa na wanao Christopher, Cathbert ,Eliamani pamoja na wakwe zako na wajukuu pamoja na ukoo wote wa Kimambo na Macha.
Mama upendo wako na mawazo pamoja na ushauri vitabaki mioyoni mwetu daima. Tunakuombea pumziko la amani mpaka hapo Mungu atakapotukutanisha tena mbinguni - Amina
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...