Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Tunamtafuta fundi mwenye uzoefu wa kuchimba visima kwa kutumia mashine ya kichina ya Water Well Drill Rig XY- 100 kama hiyo hapo chini.
Mashine ni mpya na ndio inataka kuanza kufanya kazi.
Nafasi ya kazi ipo wazi. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana kwa simu zifuatazo:
0713479716 au 0719674144.
Mdau Erick Morro.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...