Mwenyeji wa Maadhimisho ya Siku ya Idadi ya Watu Dunia, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera (aliyesimama) akisoma hotuba ya utangulizi, katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku hiyo. Kulia ni Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Idadi ya Watu Dunia, Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Fatma Fereji.
Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Idadi ya Watu Dunia, Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Fatma Fereji (aliyesimama). Kushoto ni Mwenyeji wa Maadhimisho ya Siku ya Idadi ya Watu Dunia, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera.
Mkuu wa Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano (Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango), Bi Joyce Mkinga (Kushoto)akimpa vipeperushi na nyaraka zinazoelezea majukumu na kazi za Tume ya Mipango kwa maelezo kwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Idadi ya Watu Dunia, Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Fatma Fereji, (Wa pili kulia).
Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Idadi ya Watu Dunia, Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Fatma Fereji akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Maadhimisho hayo yaliyofanyika kitaifa mkoani Morogoro.
Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika maadhimisho hayo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...