Home
Unlabelled
mambo ya Gado leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Baada ya Gaddafi wanafuatia hawa:
ReplyDelete1.Meles Zenawi -Ethiopia
2.Yoweri Museveni-Uganda
3.Robert Mugabe -Zimbabwe
4.Yahya Jammeh -Gambia
5.Isaiah Afewerki-Eritrea
Hivi ni nani aliwaambia ya kuwa maisha hayawezekani nje ya Utawala ?
Watawala wa namna ni kwamba hawatendi haki kwa wananchi wanaowaongoza. Ndiyo maana hawataki kutoka Ikulu kwa kuwa wanaogopa sheria inaweza kuwaadhibu kwa waliyofanya na wanayoendelea kufanya. Viongozi wa aina hii ndiyo wanaokimbia hata vivuli vyao kwani wametawaliwa na wasiwasi. Wanataka wafie Ikulu kwa kisingizio eti walipigania uhuru.
ReplyDeleteShabash
ReplyDelete