Marehemu Issa Kihange, mchezaji mahiri wa zamani wa timu ya Simba, alifariki ghafla tarehe 24/7/2012 na kuzikwa nyumbani kwake Dodoma leo katika mazishi yaliyohudhuriwa na mamia ya waombolezaji wakiwemo wafanyakazi wa ofisi za Bunge wakiongozwa na Spika Anne Makinda
Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda (kati) akimfariji mjane arehemu Issa Kihange na mama mzazi wa Zainab Issa Kihange (kushoto) ambaye ni mfanyakazi wa Ofisi ya Bunge.


Jamani Mungu Mkubwa! RambiRambi kwa familia. Mungu amlazie pema.
ReplyDeleteMungu amlaze mahala pema Amina.Tafadhari michu ongeza LETTER E kwenye piece please
ReplyDeleteRIP, Rest In Peace.
ReplyDelete