Marehemu Issa Kihange, mchezaji mahiri wa zamani wa timu ya Simba, alifariki ghafla tarehe 24/7/2012 na kuzikwa nyumbani kwake Dodoma leo katika mazishi yaliyohudhuriwa na mamia ya waombolezaji wakiwemo wafanyakazi wa ofisi za Bunge wakiongozwa na Spika Anne Makinda
 Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda  (kati) akimfariji mjane arehemu Issa Kihange na mama mzazi wa  Zainab Issa Kihange (kushoto) ambaye ni mfanyakazi wa Ofisi ya Bunge.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2012

    Jamani Mungu Mkubwa! RambiRambi kwa familia. Mungu amlazie pema.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 26, 2012

    Mungu amlaze mahala pema Amina.Tafadhari michu ongeza LETTER E kwenye piece please

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 27, 2012

    RIP, Rest In Peace.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...