KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA  ( ACP) LIBERATUS SABAS AKIWA NA MKUU WA KITENGO CHA POLISI JAMII MKOA WA ARUSHA (SP) MARY LUGOLA PAMOJA NA WADAU WA POLISI JAMII KUTOKA KUSHOTO MWENYE  KIBARAGHASHIA NDG.FAISAL SHAHBHAI NA NDG. RICHARD MASSAWE WAKIWA WAMESHIKA KOMBE LA POLISI JAMII KWA PAMOJA KUASHIRIA USHIRIKIANO KATI YA JESHI LA POLISI NA JAMII.MICHUANO HIYO YA POLISI JAMII CUP KWA MKOA HUU INATARAJIWA KUANZA LEO TAREHE 26/07/2012 KATIKA NGAZI YA KATA.
PICHA na Mahmoud Ahmad wa Globu ya Jamii, ARUSHA).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...