Mashine za Kupasua, kusaga mawe, na kutenganisha mchanga wa mawe yaliyochimbwa kwenye migodi ya dhahabu (Crasher, Compiler, Separator etc). Hizi mashine hapo juu ni seti nzima ya kufunga kwenye mgodi kwa wachimbaji wadogowadogo, kama mmiliki naweza shirikiana au hata kuuza kwa wale wachimbaji wenye nia ya kusaga mawe yao na kuchambua dhahabu wenyewe. Napatikana kwa simu namba 
+255715712226 au +255766552500

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hiyo dhahabu utaichambaje bila kuwa na detector kujua ni wapi penye dhahabu na wapi hakuna,tuache zama za kale kwa ajili ya kujipatia tuu hela?
    hawa wachimbaji wadogo@ wanatakiwa kuelimishwa juu ya kuska madini kabla ya kuanza kuchimba sio unachimba ni kuchimba tuu ndio maana kunakuwa na uharibifu wa mazingira.tunazidiwa na wazungu tukubali tuu.wauzie gold detector kwanza kwa ajili ya kustudy eneo,hizo machine will follow....

    ReplyDelete
  2. Ni vizuri unapotoa kitu Kwa umma kama ni biashara uweke na bei hii ya ukihitaji u nitafute inamaana kila atakayekutafuta utampatia bei yake mimi nipo kwenye harakati za kuhitaji sasa napatwa na wasiwasi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...