Mwenyekiti wa Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha New Hope Family Omar Rajab (katikati) akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es alaam kuhusu mtoto Joel Joseph (hayupo pichani) kutoka Kituo hicho alivyofanya vizuri katika mtihani wake wa kumaliza muhula na kushika nafasi ya kwanza darasa la saba katika shule ya Msingi Ungindoni wilayani Temeke . Wengine ni Mlezi Kituo hicho Mariam Pius(kushoto) na Katibu Mkuu wa Kituo hicho Hashim Yusuf Mahmoud (kulia).
Mwanafunzi wa darasa la saba katika Joel Joseph shule ya Msingi Ungindoni wilayani Temeke anayelelewa katika Kituo cha New hope Family akipokea zawadi ya vitabu na madaftari jana jijini Dar es salaam, kutoka kwa mshauri wa Kituo hicho Michael Lugendo (wa pili kulia) ikiwa ni baada ya kufanya vizuri katika mtihani wake wa kumaliza muhula darasa la saba na kushika nafasi ya kwanza katika shule ya Msingi Ungindoni wilayani Temeke . Wengine ni Mlezi Kituo hicho Mariam Pius(kushoto), Mwenyekiti wa Kituo Omar Rajab (wa pili kushoto) na Katibu Mkuu wa Kituo hicho Hashim Yusuf Mahmoud (kulia).
Mshauri wa kituo cha Kulelea watoto waishio katika Mazingira Magumu cha New Hope Michael Lugendo (wa pili kulia) akiwaonyesha waandishi wa habari vitabu na daftari mbalimbali ambazo walimkabidhi Mwanafunzi wa darasa la saba katika Joel Joseph shule ya Msingi Ungindoni wilayani Temeke anayelelewa katika Kituo cha New hope Family baada ya kufanya vizuri katika mtihani wake wa kumaliza muhula licha ya kuishi katika mazingira magumu ja jijini dar es salaam.Wengine ni Mlezi Kituo hicho Mariam Pius(kushoto), Mwenyekiti wa Kituo Omar Rajab (wa pili kushoto) na Katibu Mkuu wa Kituo hicho Hashim Yusuf Mahmoud (kulia).Picha na MAELEZO_ Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...