Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2012

    Nimekusikiliza kwa makini. Mimi kama mwana diaspora, ninakushukuru kwa kunipanua kimawazo. Pia nikupongeze kwa kurudi nyumbani. Nadhani unanasiasa pia utakufaa kwa kuwa unaonekana kuwa na moyo wa kizalendo. Mungu akubariki.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 24, 2012

    Kaka umeongea, Lakini ulimi umeteleza hapo kwa watanzania kwenda kusoma Nigeria. Huko labda watanzania wkwsomee shahada ya uongo na Corruption that,s it...

    Kama utaweza kufuta hiyo sentence tafadhali fanya hivyo!.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 24, 2012

    Hahah.. nigeria ??? that reall sheet yaani hakufahi kwanza siku hizi ukiwa Hong Kong wakijua wewe ni mnigeria hupandi tax zao.. alafu hata hapo bongo jamani wanigeria ni wezi balaa ukiwa malaysia ndo usisemeeee yaani wana jiita ABA NIGER... ni noma kuua njenje kama boko haram

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 24, 2012

    He does not sound convincing at all. I will not be going back to Bongo. I can't stand corruption and the poor distibution of resources. MPs are paid Ths400,000 daily allowance while the basic salary is hardly half of that per month. Never heard of country with so many MPs who are Drs and/or Professors. A budget session takes 3 months? what a they doing there?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 24, 2012

    English yake ina accent nzito, I wouldn't give him a job!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 24, 2012

    very contradictory statements - hard to get a job and then he says there are many opportunities, mwongo huyo, fafanua what you mean.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...