Home
Unlabelled
MWANADIASPORA VINCENT MUGHWAI ALONGA NA VIJIMAMBO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nimekusikiliza kwa makini. Mimi kama mwana diaspora, ninakushukuru kwa kunipanua kimawazo. Pia nikupongeze kwa kurudi nyumbani. Nadhani unanasiasa pia utakufaa kwa kuwa unaonekana kuwa na moyo wa kizalendo. Mungu akubariki.
ReplyDeleteKaka umeongea, Lakini ulimi umeteleza hapo kwa watanzania kwenda kusoma Nigeria. Huko labda watanzania wkwsomee shahada ya uongo na Corruption that,s it...
ReplyDeleteKama utaweza kufuta hiyo sentence tafadhali fanya hivyo!.
Hahah.. nigeria ??? that reall sheet yaani hakufahi kwanza siku hizi ukiwa Hong Kong wakijua wewe ni mnigeria hupandi tax zao.. alafu hata hapo bongo jamani wanigeria ni wezi balaa ukiwa malaysia ndo usisemeeee yaani wana jiita ABA NIGER... ni noma kuua njenje kama boko haram
ReplyDeleteHe does not sound convincing at all. I will not be going back to Bongo. I can't stand corruption and the poor distibution of resources. MPs are paid Ths400,000 daily allowance while the basic salary is hardly half of that per month. Never heard of country with so many MPs who are Drs and/or Professors. A budget session takes 3 months? what a they doing there?
ReplyDeleteEnglish yake ina accent nzito, I wouldn't give him a job!!!
ReplyDeletevery contradictory statements - hard to get a job and then he says there are many opportunities, mwongo huyo, fafanua what you mean.
ReplyDelete