Anasema Allaah سبحانه وتعالى:
((يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُواْ كُتِبَ عَلَيْكُمُ الصِّيَامُ كَمَا كُتِبَ عَلَى الَّذِينَ مِن قَبْلِكُمْ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ)) (( أَيَّامًا مَّعْدُودَاتٍ ...
((Enyi mlioamini! Mmefaradhishiwa Swawm, kama waliyofaradhishiwa waliokuwa kabla yenu ili mpate kumcha Allaah))(([Mfunge] siku maalumu za kuhisabika…)) [Al-Baqarah: 183-184]
Na Amesema Mtume صلى الله عليه وآله وسلم:
(( من صام رمضان إيماناً و احتساباً غفر له ما تقدم من ذنبه )) أخرجه البخاري ومسلم
Amesema Mtume صلى الله عليه وآله وسلم ((Atakayefunga Ramadhaan kwa Iymaan na kutaraji malipo ataghufuriwa madhambi yake yaliyotangulia)) [Al-Bukhaariy na Muslim].
Ndugu Muislamu, zifuate Nasiha 40 zifuatazo katika mwezi wa Ramadhaan uwe miongoni mwa watakaotoka ukiwa umeghufuriwa madhambi yako na umechuma thawabu tele.
mashallah sub hanna Allah, rahman akujazi kila la kheri na barka tele issa michuzi kwa kutuwekea mawaidha mazuri sana na aliyaandika pia.
ReplyDeleteinshallah Allah atupe kila la kheri na kutukubalia funga zetu na atuweka katika fungu la waja wema Allah ma amin.
New York
ماشاءالله
ReplyDeleteجزاك اللهُ خيراً
ReplyDeleteLa kwanza KUREHEMEWA, ndilo kumi la awali
Lafata KUSAMEHEWA, atughufiri JALALI,
HURU NA MOTO ACHIWA, tutubu TOBA ya kweli,
Ya NNE nguzo lopewa, tuisimike kikweli.
INSHA ALLAH, Mwenyeez Mungu atujaaliye kila jema kheri, salama na amani, katika MWEZI HUU MTUKUFU WA RAMADHAN, kuanzia awali yake mpaka akhiri yake.
RAMADHAN KAREEM.
tufunge waislam wenzangu nasiha kwa wote.bongo flava inaishia hapa hapa hata makaburini haifiki lakini faida ya funga inakusubiri pale watu watakapoondoka baada ya kuzikwa.ramadhani karim
ReplyDelete