Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua miche ya kahawa wakati alipotembelea shamba la katika kijiji cha Likopelo wilayani Songe vijijini wakati wa sikukuu ya Sabasaba
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma wakati alipozindua kampeni ya kimkoa ya matumizi ya matrkta makubwa katika kilimo mkoani Ruvuma iliyofanyika kwenye uwanja wa zimamoto mjini Songea
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kampeni ya kimkoa ya matumizi ya Matrekta makubwa katika kilimo mkoani Ruvuma iliyofanyika kwenye uwanja wa zimamoto mjini Songea |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasha trekta wakati alipozindua kampeni ya kimkoa ya matumizi ya matrekta makubwa katika kilimo mkoa wa Ruvuma iliyofanyika kwenye uwanja wa zimamoto mjini Songea
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...