Bondia Wema Sepetu akimkimbia mpanzani wake Jacklen Wolper wakati wa mpambano wao |
Kocha wa Wema Sepetu ,Rashidi Matumla akimvua Joho wema kabla ya kupigana
Mabondia ambani ni wacheza filamu maarufu nchini Wema Sepetu kushoto na Jacklen Wolper wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wajkati wo Tamasha la vMatumaini lililofanyika jumamosi katika uwanja wa Taifa
Refa John Chagu akiwainua mikiono juu mabondia Jacklen Wolper kushoto na Wema Sepetu kuashiria mpambano wao ni droo
Wema na Wolper baada ya mpambano
Mdau wa mchezo wa Masumbwi Nchini Ibrahimu Kamwe akimwelekeza bondia Wema Sepetu kitu
Baada ya mpambano wawili hawo hawo wanaondoka eneo la tukio
Ngumi na lipstick eh!
ReplyDeleteUmaarufu unatafutwa kwa tabu sana. haya bwana mabondia wetu....
ReplyDeletemabondia hawana hata mikwaruzo usoni na wala jasho halikufuta lipstick zao. Hili kweli ni onyesho la matumaini
ReplyDeleteSIJAELEWAGA HUU MPAMBANO NI WA UZITO GANI? NA WANAGOMBEA MKANDA UPI?
ReplyDeleteHata kama it was for fun, si waandaaji wangewapa yale makofia wanayovaa mabondia amateurs?
ReplyDeleteMpambano wa Ngumi kati ya Jackline Wolper na Wema Sepetu!
ReplyDeleteNINA WASIWASI NA UWEZEKANO WA HAYA MAWILI HAPA CHINI:
1.MATOKEO KUPANGWA, !
2.MAZINGIRA YA RUSHWA, !
(Inawezekana mmoja wa Bondia amempa mwenzie 'chochote' ili asimpige sana)!
SIKUBALI INABIDI TUKATE RUFAA KWENYE MASHIRIKISHO WA DUNIA YA NGUMI AU KAMA VIPI IPANGWE WARUDIANE NA MAREFA KUBADILISHWA HADI MSHINDI APATIKANE!
AU SIYO BANDUGU?