Meneja Mahusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Bi.Lulu Mengele akiwasilisha salamu za rambi rambi na ubani wa shilingi 5,000,000 kutoka PPF kwa Makamu wa PILI WA Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kufuatia ajali ya Meli ya M.V.Skagit iliyotokea hivi karibuni
 Meneja Mahusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Ms.Lulu Mengele akipeana mikono  na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi  alipomtembelea mjini Zanzibar kuwasilisha salamu za rambi rambi  kufuatia ajali ya Meli ya M.V.Skagit iliyotokea wiki iliyopita.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi  akizungumza na Meneja Mahusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF  Bi Lulu Mengele aliyefika Zanzibar kutoa mkono wa pole na ubani kwa niaba ya Uongozi wa Mfuko huo kufuatia ajali ya meli ya hivi karibuni karibu na Kisiwa cha chumbe Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...