Waziri mpya wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Rashid Seif kulia akikabidhiwa Ofisi yake na Waziri wa wizara hiyo aliyejiuzulu karibuni Hamad Masoud Hamad kufuatia ajali ya kuzama kwa MV.Skagit. Picha na Nafisa Madai-Maelezo Zanzibar.
Home
Unlabelled
Waziri mpya wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar akabidhiwa ofisi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ofisi ya waziri haina hata Desktop computer!!!!!....
ReplyDeleteBaada ya kujiuzulu afikishwe mahakamani. Sio kuwa ndo ameseve soo.
ReplyDeleteKama mwandishi wa hapo juu isiishie kujiuzulu. Tuache kulindana kwani boti hiyo inaonyesha haikuwa hata na vifaa vya usalama (maboya) lakini ilipewa leseni ya kuuwa wananchi.
ReplyDelete