Spika wa Bunge la Afrika ya Mashariki bi Magreti Nzziwa Nantongo (kulia) akiwa kwenye semina ya siku mbili ya kuandaa mpango kazi wa mwaka 2012-13 ya bunge la Afrika ya mashariki kwenye Hoteli ya East African hotel jijini Arusha leo.
Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki wakiwa kwenye semina ya siku mbili ya kuwajengea uwezo na kuandaa mpango kazi wa mwaka 2013 kwenye hotel ya East African jijini Arusha.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...