Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Diamond akicheza vilivyo wakati wa Tamasha la”WAJANJA ”Lililofanyika jana katika uwanja wa Nang’wanda Mkoani Mtwara,Tamasha hilo limefanyika katika mikoa mitatu hapa nchini na litamalizikia mkoa wa Tanga jumapili ijayo likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni wa Vodacom kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.
Msanii Mahiri wa Muziki wa kizazi kipya Nay wa Mitego akiwapagawisha wakazi wa Mkoa wa Mtwara hapo jana katika uwanja wa Nang’wanda mkoani humo wakati wa Tamasha la”WAJANJA” linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,Tamasha hilo limefanyika katika mikoa mitatu jumapili hii litafanyika katika mkoa wa Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.
Baadhi ya watoto wa Mkoa wa Mtwara wakionyesha vipaji vyao vya kucheza kiduku wakati wa tamasha la”WAJANJA”hapo jana katika uwanja wa Nang’wanda tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litaendelea kufanyika katika mkoa wa Tanga jumapili ijayo likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.
Msanii Mkongwe wa Muziki wa kizazi kipya Fid Q akiwapagawisha wakazi wa Mkoa wa Mtwara hapo jana wakati wa tamasha la”WAJANJA” linaendeshwa na Vodacom Tanzania,Jumapili ijayo litafanyika katika mkoa wa Tanga minne likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.
Mwamba wa Kaskazini Joh Makini akiwapagawisha wakazi wa Mtwara katika uwanja wa Nang’wani mkoani humo wakati wa Tamasha la”WAJANJA wa Vodacom”lililofanyika hapo jana mkoani humo likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia huduma za mtandao huo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwenda mtandao wowote kwa shilingi ishirini na tano na kutumia twitter na facebook bure.
Msanii wa kizazi kipya Shetta kushoto sambamba na Papaa wakiwapagawisha wakazi wa Mtwara hapo jana katika uwanja wa Nangw’anda kwenye Tamasha la “Wajanja”liloandaliwa na Vodacom Tanzania likiwa na lengo la kuwaelimisha awananchi kutumia mtandao huo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishini na tano kwenda mtandao wowote na kuperuzi facebook na twitter bure.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano Joseline Kamuhanda(katika)akiwa amepozi kwa picha na wadau katika tamasha la”Wajanja wa Vodacom” Lililofanyika jana katika uwanja wa Nang’wanda Mkoani Mtwara,Tamasha hilo limefanyika katika mikoa mitatu hapa nchini na litamalizikia mkoa wa Tanga jumapili ijayo likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni wa Vodacom kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. HAYA MATAMASHA MBONA SIJAWAHI KUSIKIA YAKIFANYIKA KWETU KIGOMA? MH ZITTO VP? WAPLEKE HAWA WASNANII NA KWETU,DIAMOND ANATOKA HUKO, ALLI KIBA ANATOKA HUKO, BWANA MISOSI ANATOKA HUKO, NA WENGINE WENGI TU, LAKINI MBONA HAWAENDI KUTUMBUIZA KWAO? KABWE SEMA NA VIJANA WENZAKO.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2012

    Watu wanahudhuria kwa wingi, ila wanakuja kuhudhuria sio kuparty,msanii hapo diamond anaonekana anajituma lakini watu wafunga mikono yao vifuani na kukodoa tu macho.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...