Afisa Mwandamizi wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC) Phil Makini Kleruu amendesha harambee na kuchangisha zaidi ya shilingi milioni 6,424,150/ kwa ajili ya kuimarisha kwaya PATANO ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania,KKKT, Dayosisi ya Likamba katika Kata ya Musa Wilayani Arumeru mkoani Arusha

Harambee hiyo pia iliambatana na uuzaji wa kanda ya kwanza kurekodiwa na kwaya hiyo tangu kuanzishwa miaka hamsini iliyopita ambapo mmoja kati ya wanakijiji wa Likamba Dakta Charles Bekoni akimuunga mkono kwa kumchangia shilingi milioni 1.5
 Phil Kleruu akijiandaa kuanzisha harambe
 Phil Makini Kleruu akizindua kanda
 Phil Makini Kleruu akiwasilisha michango kwa viongozi wa dini
 Phil Kleruu akiwa na mkewe

 Dokta Charles Bekoni akitoa mchango wake
Dokta Charles Bekoni na Phil Makini Kleruu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...